Mikopo midogo na ya haraka kwa wafanyabiashara wadogo na dharura za kijamii. Jisajili kwa dakika 5, pata uamuzi siku hiyo hiyo.
Jaza fomu fupi ya usajili kwa simu yako. Tunahitaji jina, namba ya NIDA, na biashara yako.
Chagua kiasi na muda. Officer wetu atakuita ndani ya saa moja kwa mahojiano mafupi.
Baada ya idhini, pesa zinatumwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au benki yako.
Wateja zaidi ya 10,000 wameamini HBS MICROFINANCE LIMITED. Jiunge nao leo.